Designing

Tunasajili jina la website (Domain name) kwa haraka, na designing inakamilika katika muda wa siku 3 tu. Tunakuhudumia kokote uliko, mahitaji ni Data za website yako ambazo ni picha, maelezo ya bidhdaa au huduma zako na aina yoyote ya taarifa unazohitaji ziwepo kwenye website

Unatuma data zako kwa Email na tunafanya kazi yako kwa haraka. Malipo ni baada ya kuona kazi yako imekamilika. Email yetu ni info@masaihost.com

Kazi yako inapokamilika tunakupatia Administrator details utakazotumia wakati wowote ukihitaji kufanya mabadiliko ya contents

Web Hosting package tunayokupa inahusisha pia Email accounts zinazoshabihiana na website yako, Mfano: info@college-name.ac.tz

Tunatumia WordPress, framework maarufu na rahisi kutumia hata kwa asiye na ujuzi wa web designing. Hii inafanya iwe rahisi kwako kufanya mabadiliko yoyote kwenye website yako wakati unapohitaji

Download WordPress video tutorial, jifunze kutengeneza website (designing) kwa kutumia WordPress