Website Solution

Tuna design websites za Biashara, Shule, Vyuo na taasisi kwa bei rahisi kuliko watoa huduma wengine wote

Kazi zetu ni bora na zinakamilika katika muda wa siku mbili tu. Tunakuhudumia kokote uliko, mahitaji ni Data za website yako ambazo ni picha, maelezo ya bidhdaa au huduma zako na chochote unachohitaji kiwepo kwenye website. Bei ni Tsh 350,000 tu

Bei inahusisha kutengeneza website, kusajili jina la website pamoja na Hosting service. Baada ya mwaka mmoja kuisha gharama ya kulipia Hosting kwa mwaka ni Tsh 95,000

Lipa baada ya website yako kukamilika

Wasiliana nasi kisha tuma data zako kwa Email, tuta design na kuweka website yako online, utalipa baada ya kuthibitisha kazi yako imekamilika